Ukipata mikosi,laana nk na njia pekee ni ya kuondoa mikosi hiyo ni matambiko basi hawa mabwana watakuja kukufanyia hata kama si mwanachama.Ila matambiko na ngoma watacheza na kufanyia kwako. Mfano mwingine ni upande wa "Dakama" ambapo yatambulisha kama eneo la Unyamwezi lakini zaidi ya mpanuko wake ni upande wa "kusini". HISTORIA YA WASUKUMA Na jaji BULIMBO MNENE Wasukuma limetokana na neno SUKUMA(KASIKAZINI). hii ni mikoa asili ambayo wasukuma wanatokea.Lakini Wasukuma wengi pia wanapatikana katika mikoa ya Rukwa,Katavi na Morogoro.Ambapo wamehamia huko kwa ajili ya kufata kilimo na malisho ya mifugo.Wasukuma ndio kabila kubwa zaidi nchini Tanzania likifuatiwa na … 2.Kusini(Wadakama,hawa wanaweza kuwa Shinyanga ama Tabora kutegemeana upo wapi). ‬ ‪Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehe... Sn Name of Institution Accronym Website 1 Abdulrahman Al-Sumait University SUMAIT www.sumait.ac.tz 2 Aga Khan Univeristy AKU www.aku.edu 3 A... Post Comments hii ni mikoa asili ambayo wasukuma wanatokea.Lakini Wasukuma wengi pia wanapatikana katika mikoa ya Rukwa,Katavi na Morogoro.Ambapo wamehamia huko kwa ajili ya kufata kilimo na malisho ya mifugo.Wasukuma ndio kabila kubwa zaidi nchini Tanzania likifuatiwa na Kabila la Wahaya na baadae Wachagga. Kwa wale waliopata kusoma historia au kusikia hadithi za makabila, hasa ya Wasukuma na Wanyamwezi, hawakukosa kusikia habari ya Ng’wanamalundi. Maria Nyanjige akinukuliwa, asema anafafanua kuhusu historia ya Wasukuma, “ kihistoria asili ya kabila la wasukuma ni nchini Ethiopia, na akaongeza kuwa kabila la Wasukuma limegawanyika katika sehemu tatu, kwamba kuna wasukuma wa Mwanza, Wasukuma wa Tabora na Wasukuma wa Shinyanga, akaeleza kuwa pamoja na kugawanyika kwa makabila hayo lakini bado yanalafudhi inayotofautiana … HISTORIA INAIBEBA KAGERA. Yapo pia makabila ya wafugaji waliohamia kwenye eneo hili, kama vile wamasai, wabarbaig na wasukuma. #TANZIA: Rais John Pombe Magufuli ametangaza kufariki kwa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa. Mapema leo mchana tulifanya ziara fupi ndani ya kijiji cha makumbusho cha kabila la Wasukuma kiitwacho Bujora,kilichopo maeneo ya Kisesa,ni kama umbali wa km 20 hivi kutoka Mwanza mjini na kufika kwenye kijiji hicho,ambacho kimewekwa/jengwa maalum kwa ajili ya kuhifdhi vitu mbalimbali vilivyotumika na … 2.Maisha ya kijijini. Kwa wasioshuhudia siku ukibahatika kukutana nao barabarani wanatukana matusi makubwamakubwa njia nzima wala usishangae. Upande wa mwisho kutambulishwa ni "Ngw’eli", neno hili halikupewa kabila na badala yake linawakilisha upande wa magharibi (dira), ambako ni machweo ya jua. Wasukuma wanafuga kwa wingi ng'ombe,mbuzi na kwa uchache kondoo. Wasukuma pia ni wafanyabiashara na uvuvi, madini mbalimbali kama vile dhahabu, almasi na madini mengineyo ambayo huchimbwa katika maeneo mbalimbali mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Hapa utapata kujua kiundani chimbiko la Msukuma na kwanini wasukuma ni wengi. Katika jamii ya wasukuma kama ilivyo jamii zingine kuna wachawi.Swala la wachawi limebakia kuwa swala tete toka enzi na enzi.Utamaduni wa toka zamani kuhusu wachawi ni kuwa ukijulikana ni mchawi uliyeshindikana basi utafukuzwa katika utemi(tawala za kitemizamano)huo na kulazimishwa uvuke temi zingine si chini ya tano. Swala la albino nalo lilipoibuka taarifa nyingi zilikuwa ni zilezile kuwa viuongo hivyo vina soko kubwa katika nchi ya Kongo. Huku utakutana na Wasumva/Wasumbwa. IJUE HISTORIA YA WAYAO. Japo mkoa wa Tabora unajulikana zaidi kama mkoa wa Wanyamwezi na si wasukuma. Ili uwe mwanachama sharti uzae mapacha,kashinje,ama wewe ni pacha,ama waliokutangulia ni mapacha mfano ni Shija ambaye huzaliwa baada ya mapacha naye ana sifa ya kuwa mkango. Katika jamii ya wasukuma wakati huo, mwanamke asiposhika mimba ndani ya kipindi cha miezi 6 hadi 12 tangu aolewe, ilikuwa ni lazima aende kwa mganga kujua kinachomsumbua. Japo wanyamwezi asili kabisa ni wachache na wanachukua wilaya ya Sikonge na Mirambo, wilaya zingine zikikaliwa na Wasukuma kuanzia Igunga na Nzega ama mchanganyiko kama Uyui. Mauji ya albino ni jambo ambalo halina taarifa za kina hata kwa wasukuma wenyewe tofauti na mauaji ya wachawi ambayo yanaeleweka kabisa katika jamii ya usukumani.Hakuna taarifa za kueleweka kuhusu jambo hili na huenda ni siri iliyobakia kwa watu wachache miaka mingi.Katika usukumani taarifa za biashara ya viungo vya binadamu zimekuwepo toka zamani lakini zikieleza kuwa biashara za viungo kama ngozi zilikuwa zikiiuzwa kongo kwa ajili ya matumizi ya dawa za kichawi huko.Kuna muda hofu ya wachuna ngozi ilikuwapo kubwa miaka ya 90 na ngozi zilizokuwa zinahusishwa na biashara hiyo ni ngozi za binadamu wa kawaida ambaye si albino. Atom Historia kwa ufupi ya makumbusho ya kijiji cha Bujorwa,Kisesa jijini Mwanza. Historia ya kabila la wasukuma na a المزيد من الألعاب كرتونيتوس - موقع عربي متميز متخصص في العاب الأطفال المجانية ، يمكنكم الاستمتاع بالألعاب على النت مع شخصيات كارتون نتورك على موقعكم المفضل كرتونينوس Mtu huyo aliyewahi kuutingisha utawala wa Wajerumani, alizaliwa katika ukoo wa kawaida akiwa mcheza ngoma mashuhuri, mwaka wa kuzaliwa kwake haufahamiki ila alifariki dunia mwaka 1936, akiwa tayari mtu mzima. Vilevile Wasukuma wamegawanyika katika makundi makuu manne ambayo ni Wasukuma wa Bariadi,Maswa na Meatu [Wanyantuzu], Wasukuma wa Mwanza [Bhasuku] au [Wasumau], Wasukuma wa Sengerema na Geita [Bhanang'weli], Wasukuma wa Tabora [Wadakama] na Wasukuma mchanganyiko kutoka Kahama na Tabora (hawa wakienda Tabora wanaambiwa ni Wasukuma, wakienda sehemu za Ntunzu wanaambiwa ni Wanyamwezi. 4 Wilaya ya Chato na Wahangaza wanaopatikana katika Wilaya ya Ngara. Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, Chato ina jumla ya wakazi 365, 127; huku wengi wao wakiwa na asili ya kabila la Wasukuma. Hizi zinafana na zinajulikana kwa wanajumuiya/wanachama bila kujali ni wasukuma wa Mwanza,Simiyu(Ntuzu),Tabora(Wanyamwezi),Shinyanga ama wamagharibi(bhanang'weli=wasumbwa). Hivyo Msukuma ni mtu wa Kasikazini lakini Wasukuma haimaanishi tu watu wa kaskazini bali wanajumuishwa pia watu wa 1.Mashariki(Bhanakiya:Ntuzu):Mkoa wa Simiyu. kwanza watoto mapacha. Ambapo ni kawaida sana kwa makabila watani wa msukuma kumtania msukuma japo utani unaweza kuwa unabeba sehemu ya ukweli kwa anaetaniwa ila haimaanishi ndo wasukuma wote wapo hivyo.Nje ya makabila watani wa msukuma hata makabila mengine yanatania wasukuma hasa kutokana na ukweli kuwa msukuma kwa kiasi kikubwa hanaga tatizo na jamii yoyote ukiacha wamasai waliokuwa wanatuibia ng'ombe zetu enzi na enzi japo hili sasa ni kama halipo. Maria Nyanjige akinukuliwa, asema anafafanua kuhusu historia ya Wasukuma, “ kihistoria asili ya kabila la wasukuma ni nchini Ethiopia, na akaongeza kuwa kabila la Wasukuma limegawanyika katika sehemu tatu, kwamba kuna wasukuma wa Mwanza, Wasukuma wa Tabora na Wasukuma wa Shinyanga, akaeleza kuwa pamoja na kugawanyika kwa makabila hayo lakini bado yanalafudhi inayotofautiana kwa namna moja ama nyingine” kuna maelezo yahusuyo makumbusho ya Bujora ambapo tamaduni za Wasukuma … Ukweli uliowazi ni kuwa mauaji yanatekelezwa na watu wachache waliojivika unyama na kujiajiri katika kazi ya kuua ili wapate kipato chao. Aina hii ya utalii pia inahusisha historia ambayo ni matukio ya nyuma ama yaliyopita kama vile historia ya nchi, jamii, watu, eneo, majengo, kijiji au hata historia ya kuanza kwa teknolojia na maendeleo ya kisayansi. Magufuli alipata elimu ya msingi katika Shule ya Chato na masomo ya sekondari ya awali katika Seminari ya Katoke, Biharamulo. Historia ya nchi yetu haiwezi kukamilika bila ya historia ya vyama hivi vya ukombozi. Mboga za kisukuma hasa ni mlenda(rangi=kijani:wakati wa masika),Mkalango(rangi=nyeusi:wakati wa kiangazi) na mzubo(rangi=kijani:wakati wa kiangazi). Historia ya kilimo cha mpunga..... 11 19.    https://vejo.site/en/f-chn?f=Erick. “Nitahakikisha watu wote wanapata bima Kwa Muda mu... Historia ya wekundu wa msimbazi simba sports club. Wasukuma huishi eneo la kaskazini magharibi mwa tanzania, karibu na mwambao wa kusini mwa ziwa victoria, na maeneo mbalimbali ya utawala ya wilaya ya nyamagana, mkoa wa mwanza, upo pia kusini magharibi mwa mkoa wa mkoa wa mara, mkoa wa simiyu na mkoa wa shinyanga. Bibliographic information. WATU WENGI WAMEKUWA WAKILIPONDA KABILA LA WASUKUMA LAKINI HUU NDIO UKWELI KUHUSU WASUKUMA NA HII NDIO HISTORIA YAO TAFADHALI JITAHIDI KUISOMA HADI MWISHO ANGALAU UPATE KITU. Yafuatayo ni maeneo yaliyo na madini: Shughuli kuu za kiuchumi kwa Wasukuma ni kilimo, uvuvi, ufugaji na biashara. Wasukuma limetokana na neno SUKUMA(KASIKAZINI).Hivyo Msukuma ni mtu wa Kasikazini. Mtu huyo aliyewahi kuutingisha utawala wa Wajerumani, alizaliwa katika ukoo wa kawaida akiwa mcheza ngoma mashuhuri, mwaka wa kuzaliwa kwake haufahamiki ila alifariki dunia mwaka 1936, akiwa tayari mtu mzima. ), Bofya kutazama matokeo ya kidato cha sita, Raisi mstaafu Mheshimiwa Benjamin Mkapa aaga dunia, Orodha ya link za Vyote Vyote Kwa waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu mbali mbali. Kama ilivyo makabila mengine ya Kiafrika wasukuma wana mila zao na tamaduni zao.Mila za wasukuma zimegawanyika sehemu mbili. Kwa wale waliopata kusoma historia au kusikia hadithi za makabila, hasa ya Wasukuma na Wanyamwezi, hawakukosa kusikia habari ya Ng’wanamalundi. Wako mchanganyiko na Wasumbwa, Wasukuma halisi na Wanyantuzu. https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Wasukuma&oldid=1097337, Kurasa zinazotumia marudio ya hoja katika wito wa kigezo, Creative Commons Attribution-ShareAlike License. hii ni mikoa asili ambayo wasukuma wanatokea.Lakini Wasukuma wengi pia wanapatikana katika mikoa ya Rukwa,Katavi na Morogoro.Ambapo wamehamia huko kwa ajili ya kufata kilimo na malisho ya mifugo.Wasukuma ndio kabila kubwa zaidi nchini Tanzania likifuatiwa na … Kwa kawaida kama si mwanajumuiya wa Bhukango hata ukizaa mapacha ama kashinje mila hii hufanyi.Labda mpaka upate mikosi ama matatizo na uelekezwe na wataalamu wa mila kuwa hao mapacha ama huyo kashinje ndio tatizo basi utalazimika na wewe kuwa mwanachama/mwanajumuiya. https://matokeo.necta.go.tz/acsee/index.htm Bofya kutazama matokeo ya kidato cha sita hapa Wizara ya elimu yatangaza matokeo ya kidat... Bofya kutazama matokeo ya darasa La Saba 2020 Kwa urahisi https://matokeo.necta.go.tz/psle2020/psle.htm. Kundi hili ndio hushughulika na matambiko ya kila aina iwe ni kuondoa mikosi,neema ,nk nk. 2.Mila za jumuiya. Eneo la kaskazini la makazi yao ni katika mbuga maarufu Serengeti. Mwinuko wake unakadiriwa kuwa inchi 20 hadi 40 ya ujazo wa mvua kutoka Novemba hadi Machi. lakini pia wasukuwa walianzia wapi na Nini maana ya neno Msukuma. Kama ilivyo makabila mengine wasukuma wengi zaidi wanaishi vijijini na maisha ya vijijini yanafanana kwa karibu makabila yote nchini. Hii ni mikoa ya Wasukuma. Eneo hili linakadiriwa kuwa na ukubwa wa mita za mraba 910 hadi 1200. hii ni mikoa asili ambayo wasukuma wanatokea.Lakini Wasukuma wengi pia wanapatikana katika mikoa ya Rukwa,Katavi na Morogoro.Ambapo wamehamia huko kwa ajili ya kufata kilimo na malisho ya mifugo.Wasukuma ndio kabila kubwa zaidi nchini Tanzania likifuatiwa na … Historia hutoa mafunzo na ni mwelekezaji pia, kwa hiyo ni wajibu wa Watanzania, hasa wanachama wa CCM kujifunza kutokana na historia yetu. (i)Bhakango,hawa wanafanya kitu kinaitwa bhukango. 3.Magharibi(Bhanang'weli). Katika mazingira ya sasa mchawi aliyeshindikana kabisa hafukuzwi kama zamani kwa sababu ya mambo ya sheria bali mtu anaelogwa atajaribu kutafuta dawa za kuzuia uchawi na ikishindikana kabisa basi chaguo la mwisho huwa ni mauaji ambapo atalazimika kukodi watu wa kuua(Kama wahalifu wengine wapo watu wamejiajiri katika uhalifu huu wa kufanya mauaji ya kikatiri kwa hawa wanaodhaniwa ni wachawi).Wanaouwawa huuwawa kwa sababu ya uchawi ila imepotoshwa sana kuwa wanaouwawa ni vikongwe wenye macho mekundu.yapo mauaji mengi yametokea ya watu wasio vikongwe kabisa na wala hawana macho mekundu na pia macho mekundi si ishara ya uchawi usukumani ila imepotoshwa sana na ule wimbo wa kusema ana macho mekundu mleteni hapa ale mapanga. Watemi ndio walikuwa viongozi wa kabila la Wasukuma na watu walikaa kiukoo katika eneo moja. Familia za Wasukuma wengi sana wamehamia maeneo ya kusini kuelekea mkoa wa Rukwa ambao baadae umegawanywa na kuzaa mkoa wa Katavi, wakipita maeneo ya kabila la Wapimbwe na hivyo kufanya makazi katika eneo hili la kijiji cha Wapimbwe. Mila hizi zinahusu wazazi na watoto wa aina:-. 1.Mila za koo ama familia.Hizi hazifanani kabisa kati ya koo na koo. Hawa ndio wanachukua sehemu ya watu wa Magharibi. Historia ya Wasukuma na tofauti kati ya wa Mwanza na Shinyanga. Watemi ndio walikuwa viongozi wa kabila la Wasukuma na watu walikaa kiukoo katika eneo moja. mwanamarundi mtu maarufu ktk jamii ya wasukuma.alwahi safiri na akamwachia mama ake maziwa na akamwambia yakiganda ajue amefariki yasipoganda yu hai.ntaendelea. Nao wapo japo ni wachache sana. Ugunduzi wa Kihistoria/Historical Discovery Maktaba Ya Picha/Photo Library Matukio Ya Kihistoria/Historical Events Makabila ya Afrika/The African Tribes Mikoa Ya Tanzania/The Regions of Tanzania Mabara Mengine/Other Continents Nchi za Afrika/The African Countries Makabila Tanzania/The Tribe of Tanzania Kiistoria inapata kusimuliwa kuwa, kiasilia Wasukuma wanapatikana katika mkoa wa Shinyanga na Mwanza kama Ardhi mama. Wasukuma wamezungukwa na madini mbalimbali. Kwa mfano idadi kubwa ya Wasukuma kwenye miaka ya sasa hivi, wapo mkoani Mwanza, Shinyanga na Tabora. 1.3. Waganga ndio watu pekee waliotatua matatizo mbalimbali ya jamii zao. Ni nyakati ambazo hakukuwa na makanisa ya maombezi kama ilivyo leo hii, misikiti ya kuomba dua wala hospitali. Pamba ndio zao kuu la kibiashara kwa wasukuma, ambao pia hulima mazao mengine kama mpunga, tumbaku, mahindi, viazi, dengu na matunda (kisiwani Ukerewe). Upande mwingine ambao unapewa alama ya utambulisho ni "Ushashi" maana yake ni upande wa kabila la Washashi na neno hili Washashi ni mkusanyiko wa makabila ya mkoa wa mara, japo pia neno hili "shahi" linamaanisha kabila la Wakurya ambalo pia mpanuko wake unakomea hapo, ambapo zaidi ya hapo eneo zima la upande huo unamaanisha upande wa kaskazini. Wasukuma wana aina ya ngoma za burudani zaidi ya 15. Mtu huyo aliyewahi kuutingisha utawala wa Wajerumani, alizaliwa katika ukoo wa kawaida akiwa mcheza ngoma mashuhuri, mwaka wa kuzaliwa kwake haufahamiki ila alifariki dunia mwaka 1936, akiwa tayari mtu mzima. ( Ndoa za Wabaluchi ... zaidi na ufugaji na Wasukuma hujishughulisha na mambo yote mawili, ufugaji na ukulima. Kabila la wasukuma linapatikana mikoa mitano Mwanza,Geita,Shinyanga,Simiyu na Tabora. "Wasukuma wenyewe hulirejea jina hili kama "Basuguma" kwa wingi na "Nsuguma" kwa umoja. Maeneo ya Shinyanga wanalima mazao ya nafaka kama mahindi na mpunga. Utamaduni huu wa kuwafukuza wachawi walioshindikana ulikuwa ni wa zamani sana na baadhi ya wachawi walilazimika kuishi kwenye mapango kwa kuwa kila sehemu akienda anakataliwa. Ni kweli wasukuma wanapenda wanawake weupe ila weupe natural. Japo haimanishi kuwa hakuna wakali,wachoyo na wabahiri. Jamii nyingine ambayo imekaa sana katika bonde la Usangu ni jamii ya Wabaluchi ambao wanaitwa kama Swala hili bado limebakia kuwa na usiri mkubwa na hakuna taarifa za kueleweka ni nini hasa chanzo chake na soko hili liko wapi? (ii)Bhasweji, hili ni kundi la pili la wanamila wa kisukuma. Wasumbwa kama ilivyo kwa Wanyamwezi wao wanaonekana kama si sehemu ya Wasukuma lakini ni sehemu ya wasukuma na karibu kila kitu kinafanana kuanzia lugha,mila na desturi na utamaduni wao. KKKT Dayosisi ya Iringa ina historia inayorudi nyuma hadi mwaka 1899, mwaka ambapo Mmisionari wa Kijerumani Mch. Wasukuma wengi katika karne ya 20 walitumia utamaduni wao zaidi katika kusherehekea matukio ya nyakati mbalimbali, kwa mfano wakati wa mavuno, unyago, ndoa, misiba n.k. WAYAO ambao jina la kabila lao linatokana na mlima"YAO" katika nchi ya "UNANGWA" huko MSUMBIJI kati ya mto LUJENDO na ziwa NYASA.Waligawanyika katika koo nyingi ambazo ni AMASANINGA,AMANGOCHI,AMALAMBO,WAMAKALE,WAMBEMBA,WANKULA,WANJESE, na ACHINGOLI.Hapo awali WAYAO walijulikana kwa jina la "AKINANKUNDE",waliishi "KUMBEMBA" … 1978 – Majeshi ya Uganda yanaingia na kutawala kipande cha nchi. Vijana wadogo hasa waliozaliwa miaka ya 90 wanasema kua wamekua tu wakisikia historia ya mti huu, ... Video, Wasukuma na utamaduni wao wa kuwafuga nyoka Tanzania 11 Mei 2018. Kama wali mboga ni nyama.Na wanatabia huwa hawaondoki na wanaweza kukaa kwako hata mwezi wanatambika tu.Usipopika nyama siku hiyohiyo wanaondoka. Wasukuma ni kabila kubwa zaidi nchini Tanzania: linakadiriwa kufikia watu milioni 7, idadi inayowakilisha asilimia 16 ya wakazi wa nchi kwa ujumla. Title: Mwanamalundi: mtu maarufu katika historia ya Usukuma: Author: Bonephas Z. Boaz: Publisher: Ingawa matukio haya ni muhimu katika historia ya Tanzania, kuna mengine kama: 1967 – Kwenye Maadhimisha ya Arusha, Nyerere alianzisha rasmi mchakato wa ujamaa na uchumi wa kujitegemea. Na hawa mtandao wao ni mtandao wa kihalifu na si mtandao wa wasukuma Na ndio sababu ikitokea muuaji akajulikana basi anaweza kuuwawa na wanachi wenye hasra kali kwa kuwa hakuna anayependa haya mauaji katika jamii ya usukumani.ukumbuke pia kuwa kanda ya ziwa ndio ina albino wengi zaidi. Alimalizia kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Lake, mkoani Mwanza. Ukizaa watoto mapacha ni mkosi hivyo lazima ufanye bhukango kuondoa mikosi.wa pili ni watoto waliozaliwa wametanguliza miguu(Kashinje/kashindye). Jina "Wasukuma" lina maana ya watu wa Upande wa "Kaskazini", lakini maana hii haiwakilishi maana halisi ambayo watu wengi huitafsiri kwa mfano Wasukuma hutumia alama ya utambulisho (dira) kwa eneo fulani kwa viashirio vya makabila, kwa mfano wa jina kama hili: Kiya. Kwa wale waliopata kusoma historia au kusikia hadithi za makabila, hasa ya Wasukuma na Wanyamwezi, hawakukosa kusikia habari ya Ng’wanamalundi. Kwa sasa Wasukuma ni kabila ambalo wakazi wake wengi wametapakaa na kupatikana kwenye Ardhi zaidi ya mkoa mmoja. Huu ni utambulisho ambao haukufananishwa ama kuitwa kwa jina la kabila fulani. Hivyo Msukuma ni mtu wa Kasikazini. Mnamo Mwaka 1958 Padri Fumbuka alianzisha rasmi kanisa la katoliki hapo Bujora na kuendelea na huduma ya kuhifadhi mila, desturi na tamaduni zote za kisukuma mpaka mwaka 1968, ambapo ndipo ikarasimishwa kuwa ni makumbusho rasmi ya Bujora na hatimaye kutambuliwa na … hii ni mikoa asili ambayo wasukuma wanatokea.Lakini Wasukuma wengi pia wanapatikana katika mikoa ya Rukwa,Katavi na Morogoro.Ambapo wamehamia huko kwa ajili ya kufata kilimo na malisho ya mifugo.Wasukuma ndio kabila kubwa zaidi nchini Tanzania likifuatiwa na … Ndoa za kisukuma zinaruhusu ndoa za mitaala(mke zaidi ya mmoja). Watu maarufu katika kabila la … Wasukuma wengi katika karne ya 20 walitumia utamaduni wao zaidi katika kusherehekea matukio ya nyakati mbalimbali, kwa mfano wakati wa mavuno, unyago, ndoa, misiba n.k. Wilhelm Neuberg alianzisha stesheni mahali paitwapo itonya katika milima ya Udzungwa. Hili lina maana ya mashariki ambako ni maawio ya jua. Kuna wakati Kongo iliituhumu Tanzania kuwa biashara ya viungo inafanyika nchini kwetu na wanaouwawa Kongo viungo vinaletwa Tanzania huku na Tanzania pia kuna taarifa kuwa soko ni Kongo.Baadae ikaja kudhihirika kupitia vyombo vyetu vya usalama kuwa waganga wa kienyeji ndio wananunua viungo vya albino. Wasumbwa ni waha / wanyamwezi, waha walikuwa na kawaida ya kusafiri kutoka kwao kwa ajili ya kutafuta maslahi maeneo ya urambo na uyovu (runzewe) ikaja kutokea vita kati ya wayovu na milambo ya kugombea mipaka hiyo vita ikaamuliwa na ruhinda mtawala wa wasubi (biharamulo na chato) akawapatanisha hadi kuanza kuoleana MTOTO aliyepatikana kati ya muha na mnyamwezi naye … Katika matambiko haya matusi yote husemwa na ndio lugha rasmi inayotumika hata kama wakiwa njiani wanarudi.Matusi ya kutaja majina viungo vya siri hutamkwa bila aibu yoyote mwanzo mwisho. Wasukuma huishi eneo la kaskazini magharibi mwa Tanzania, karibu na mwambao wa kusini mwa Ziwa Victoria, na maeneo mbalimbali ya utawala ya wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza, upo pia kusini magharibi mwa mkoa wa Mkoa wa Mara, Mkoa wa Simiyu na Mkoa wa Shinyanga. Kiwango cha juu cha joto hutegemea angalau ni kutoka wakati kiwango cha chini nyakati za usiku hushuka na kufikia 15°C. Kama unapika ugali mboga ni nyama. Ukurasa huu umebadilishwa kwa mara ya mwisho tarehe 5 Januari 2020, saa 11:14. Zaidi ya hapo neno hili hutumiwa sana na kabila la Wanyamwezi ili kutambulisha eneo la Wasukuma ambapo Wasukuma nao husema "dakama". Ushamba wa msukuma umejengwa juu ya watani wa msukuma. Makumbusho ya Wasukuma yalianzishwa rasmi mwaka 1968 kwa ajili ya kuendeleza na kutunza utamaduni na mila za kabila la Wasukuma Msingi wa hifadhi ya Bujora uliwekwa katika miaka ya 1950 na Padri David Clement wa shirika la Wamisionari wa Afrika (White Fathers) kutoka nchini [[Kanada]. Kwa hiyo Wasukuma wamegawanyika katika pande kuu nne za dunia na jina la pande moja ya Kaskazini ndio lililochukua nafasi ya pande zingine zote. Ugali wa mahindi,Ugali wa muhogo na mahindi,Wali,Ugali wa mtama(kipindi cha njaa),maziwa,mboga za kisukuma na nyama. Kwa wale waliopata kusoma historia au kusikia hadithi za makabila, hasa ya Wasukuma na Wanyamwezi, hawakukosa kusikia habari ya Ng’wanamalundi. Chakula chao hawali kitu kingine zaidi nyama. Makabila ya Mara ni mengi kuliko mikoa yote ya Tanzania, kama vile Waluo, Wajita, Waruri, Wazanaki, Wakuria, Wakabwa, Wakiroba, Wasimbiti, Wangoreme, Wakwaya, Waikoma, Wanata, Waisenye, Waikizu, Wasizaki, Wasukuma, Wataturu na makabila madogo kama Wanandi, Wakisii au Wamaragori.. Kuna jumla ya makabila 30 yanayodai kujitegemea (30 ethnic groups claiming to be independent). kama ni uduni wa mavazi na malazi yanafanana na watu wa vijijini katika jamii zingine,Kama ni kutoyafahamu vyema maisha ya mjini basi ni sawa na watu wa vijijini katika makabila mengine hata kwa watani zetu wagogo.kwa hiyo ieleweke kuwa kila kabila lina washamba na wasio washamba kutegemeana na aina ya ushamba na mazingira ya huyo mshamba. “Mwaka 1958 ,Padre Fumbuka alifungua kanisa Katoliki hapa Bujora kisha akapata wazo la kuanzisha makumbusho,akaanza kukusanya mabaki ya zana za Kisukuma na kuandika historia ya wasukuma na kufanikiwa kufungua makumbusho haya mwaka 1968”,alieleza Yasinta. Mtoto akitanguliza miguu kwa maana ya kuzaliwa kinyumenyume huo ni mkosi na lazima ufanye bhukango.Wazazi wa mtoto ama watoto mapacha hupelekwa kufanyiwa matambiko maeneo kama mtoni na huko wao watakuwa uchi kabisa huku wakifanyiwa hayo matambiko na wanajumuiya wenzao. Na ukikaidi unauwawa hadharani na jamii kwa kuwa sehemu kubwa hawapendi uchawi na wachawi. This blog will be concern with matters of sports,movies,entertainment,news,politics,health,education,myth,stories and fashion, Special Gift by *Erick*  Open Now!! Fanya ufanyavyo nyama isikosekane. Mtu huyo aliyewahi kuutingisha utawala wa Wajerumani, alizaliwa katika ukoo wa Wasukuma pia wanajihusisha sana na kilimo cha mazao ya nafaka na mifugo ya aina mbalimbali. 1977 – Chama Cha Mapinduzi linaundwa baada ya TANU na ASP kuungana. Maandishi yanapatikana chini ya leseni ya. Historia ya Mkoa kabla ya Uhuru Kabla ya Uhuru na hadi kufikia mwaka 1961, eneo la sasa la Mkoa wa ... Wasubi katika wilaya ya Biharamulo, Wasukuma katika . Kwa mujibu wa semsa ya watu na makazi kitaifa {2012},wasukuma ni milioni 7 sawa na 16% ya watanzania wote nchini.Kisukuma ni lugha yenye lahaja kuu 4 ambazo zimegawanyika kulingana na pande kuu 4 za dunia :Kimnakiya upande wa mashariki,Kimna ngw'eli{magharibi},Kimnasukuma{kaskazini}na kimnadakama{kusini}Licha ya lugha hii kuzungumzwa mikoya ya … Idadi ya watu inaongezeka kwa kasi na hivyo pia kuongezeka kwa wakulima wa mbogamboga. Pia kuna Waha, Wazinza and Warongo. MAANA YA NENO WASUKUMA Wasukuma ni mkusnyiko wa makundi madogomadogo kutoka maeneo jirani , na kwamba kundi kubwa zaidi likiwa limetoka Kusini mwa eneo hili la mkoa wa Mwanza.Jina hili limetokana na neno SUKUMA maana yake wa lugha ya Kisukuma na Kinyamwezi KASKAZINI, yaani moja wapo wa ya pande nne a dunia yetu.
Corona-regeln Weihnachten Bw Ausgangssperre, Satisfactory Alternate Coal, Best Buy Movies 4k, The Social Network Justwatch, Top Places To Visit In Eldoret, Josef Hoffmann Jugendstil, Hawk Eye Dc, Serienjunkies The Walking Dead, Zs Strategy Insights & Planning Associate Consultant,